Simiyu. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza wakulima wa zao la pamba kuongeza uzalishaji kwa ekari kwa kufuata kanuni ...
Moshi. Wazee wasiojiweza zaidi ya 60 wanaoishi Kijiji cha Msae Kinyambuo, pembezoni mwa msitu wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro ...
Aziz Ki akiwa amepiga goti, alimuomba Hamisa kukubali ombi la kuwa mkewe, muda mfupi baada ya kukamilisha taratibu za utoaji ...
Mchuano huo uliokwenda hadi mzunguko wa saba Youssouf ameshinda kwa kupata kura 33, baada ya Raila kuondoa jina lake.
Dar es Salaam. Miili ya watu watatu kati ya wanne waliyofariki katika ajali iliyohusisha lori lililohama njia na kuparamia ...
Hamisa ameiambia Mwananchi Digital kuwa, anamshukuru Mungu kumpata mtu anayeona ndiye anamfaa katika maisha yake na tayari ...
Msanii wa muziki wa Jazz, Blinky Bill kutoka Kenya, ameiambia Mwananchi Digital kuwa Tanzania imepoteza ladha ya muziki ...
Majibu yaliyotolewa ni ya wale ambao waliofanya usaili kati ya Septemba 2, 2024 na Januari 17, 2024 na kufaulu ambayo ...
Ni kilio kila kona, wananchi wakilalamikia tozo ya huduma ya choo inayokusanywa kwenye stendi kuu za mabasi za mikoa nchini.
Mama huyo, amesema, Hamisa na Azizi Ki wapo katika uhusiano mwaka moja hadi kufikia hatua ya sasa ya kufunga ndoa ni jambo la ...
Mahmoud Youssouf ameshinda nafasi hiyo kwa kupata kura 33. Wagombea wengine walikuwa Raila Odinga wa Kenya na Richard ...
Februari 12, 2025 akiwahutubia Watanzania katika ofisi za makao ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es Salaam Lissu alitangaza ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results